Kesi ya Ahmed Al Mahdi katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu ya ICC imemalizika Jumatano hii, baada ya mtuhumiwa kukiri makosa aliyokua akituhumiwa. Mwanachama huyu wa zamani wa kundi la Ansar Dine ...
Baada ya miaka 70 akiwa katika siasa, ikiwa ni pamoja na miaka 56 kama kiongozi wa chama cha Ummah, Waziri Mkuu wa zamani Sadeq al-Mahdi alifariki duni kutokana na ugonjwa hatari wa COVID-19.